Undegruond king kutoka pande za Sinza town muuite
Mansu Li ambaye ni kwa muda mrefu amekua kimya sana akiendelea na shuguli zake nyingine nje ya muziki. Mansu Li alisema ”Ni kweli nipo kimya kwa muda mrefu ila muziki ndio maisha yetu ndio maana nimeamua kufanya tena ngoma na mdogo wangu Damian Soul, ngoma itaitwa Kila Sababu ambayo imefanyika Tongwe Records pale. Wakati wowote kuanzia sasa ngoma itaenda hewani

No comments:
Post a Comment