kuelekea mechi ya leo klabu yake iliamua kumzawadia tuzo ya dhahabu kwa kufikisha jumla ya michezo 1000 tangu awasili.

Kwa mara ya kwanza katika uwanja uliokuwa unamilikiwa na klabu ya Arsenal, Highbury
Mwenyekiti wa Arsenal, Sir Chips Keswick amemkabidhi Wenger tuzo hiyo leo asubuhi katika viwanja vya mazoezi ya klabu mbele ya Waandishi wa Habari.

Wenger akiwa na Mtendaji Mkuu, Ivan Gazidis (kushoto) na Mwenyekiti Sir Chips Keswick (kulia) baada ya kupokea tuzo yake
No comments:
Post a Comment