Pages

Friday, April 25, 2014

AZAM KUVUNA 75M ZA UBINGWA KUTOKA VODACOM

Meneja uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim, akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa kutangaza zawadi za washindi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ambapo Azam FC ambaye ndie bingwa atanyakua Milioni 75. Pamoja nae katika picha, wa kwanza kutoka kulia niAfisa Habari wa TFF, Boniface Wambura na Afisa Matukio na Udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude.
Meneja uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim, (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa kutangaza zawadi za washindi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ambapo Azam FC ambaye ndie bingwa atanyakua Milioni 75. Timu za Yanga, Mbeya City na Simba zilizomaliza nafasi ya pili hadi ya nne zitavuna 37M, 26M na 21M zote zikiwa na nyongeza ikilinganishwa na kiasi walichozawadiwa timu zilizoshika nafasi hizo msimu uliopita wa 2012/2013.Pamoja nae katika picha, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Silas Mwakibinga, (Kushoto) Afisa Habari wa TFF, Boniface Wambura (Kulia)

Meneja Uhusiano wa Nje Vodacom Tanzania, Salum Mwalimu akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa kutangaza zawadi za washindi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ambapo Azam FC ambaye ndie bingwa atanyakua Milioni 75.Timu za Yanga, Mbeya City na Simba zilizomaliza nafasi ya pili hadi ya nne zitavuna 37M, 26M na 21M zote zikiwa na nyongeza ikilinganishwa na kiasi walichozawadiwa timu zilizoshika nafasi hizo msimu uliopita wa 2012/2013.Pamoja nae katika picha, wa kwanza kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Silas Mwakibinga, Afisa Habari wa TFF, Boniface Wambura na Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom, Ibrahim Kaude.



Baadhi ya Waandishi wa habari walioudhuria katika mkutano wa kutangaza zawadi kwa timu za ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.Ambapo Azam FC ambaye ndie bingwa atanyakua Milioni 75. Timu za Yanga, Mbeya City na Simba zilizomaliza nafasi ya pili hadi ya nne zitavuna 37M, 26M na 21M zote zikiwa na nyongeza ikilinganishwa na kiasi walichozawadiwa timu zilizoshika nafasi hizo msimu uliopita wa 2012/2013

No comments:

Post a Comment