Pages

Tuesday, April 22, 2014

MADEREVA NA MAKONDAKTA MBEYA WAFANYA KITUKO, WASHUSHA ABIRIA NJIANI KUKWEPA NJIA MPYA

Jamaa mwenye koti akidai kwa Dereva kurudishiwa nauli yake ambayo kondacta ametokomea nayo pasipo eleweka
 Abiria wakiwa wamesimama wasijue wanaenda wapi
Abiria wengine wameamua kutembea kwa mguu baada ya usafiri kuwa shida na Kushushwa katika Magari
Hao wanaondoka sasa
 
 Afisa kutoka Jeshi la Polisi akiwa amefika kwa ajili ya kuweka hali sawa na kutuliza hali hiyo, ambapo hali kwa ni kuwa hakuna usafiri wa aina yoyote.
 Askari wa usalama wa Barabarani akiendelea kuweka Mambo sawa
 Abiria wakiendelea kushuka
 Konda akiwataka watu washuke
 
 
Picha na Mbeya Yetu

No comments:

Post a Comment