MATOKEO: ATLETICO RAHA TUPU, YAWACHAPA BARCA NA KUTINGA NUSU FAINALI
Barcelona imefungishwa virago na Atletico Madrid baada ya kufungwa bao 1-0 Uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid, Hispania. Hiyo inamaanisha Barca imeaga kwa kipigo cha jumla cha mabao 2-1 baada ya awali kulazimishwa sare ya 1-1 Uwanja wa Camp Nou, Barcelona.
Bao lililoizamisha Barca leo limefungwa na Koke dakika ya tano akimalizia pasi ya Adrian.
Bayern na Atletico zinaungana na Chelsea na Real Madrid
No comments:
Post a Comment