MATOKEO: BAADA YA MIAKA TISA HATIMAYE ARSENAL YATINGA FAINALI
Klabu ya Arsenal imefanikiwa kutinga fainali ya kombe la FA baada yakuwabwaga Wigan kwa penati 4-2. Hadi dakika 90 timu hizo zilikuwa sawa kwa matokeo ya 1-1, Fabianski aliibuka shujaa wa mchezo baada yakupangua penati mbili za wapinzani.
No comments:
Post a Comment