Pages

Sunday, April 13, 2014

MATOKEO: BARCA CHALI, YAPIGWA KIMOJA TU

Bao la Yacine Brahimi limesaidia timu yake ya Granada kuondika na pointi zote tatu dhidi ya Barcelona katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa jana. Kwa matokeo hayo ya jana Barcelona imeporomoka hadi nafasi ya tatu.
 

No comments:

Post a Comment