Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand (kulia) akimkalisha bondia Fransic Miyeyusho, katika raundi ya kwanza ya pambano lao la raundi kumi na kumaliza pambano hilo kwa KO.
Bondia Fransic Miyeyusho (kushoto) akijitutumua kuendelea kupigana na Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand. Katika pambano hilo Miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza kwa KO.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto) akimwadhibu Mustafa Dotto wakati wa pambano lao la utangulizi lililofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jana usiku jijini Dar es salaam. Katika pambano hilo King class alishinda kwa pointi.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto) akiendelea kumwadhibu Mustafa Dotto |
No comments:
Post a Comment