Pages

Thursday, April 10, 2014

MPINZANI WA CHEKA AWASILI NCHINI



Mdau wa Mchezo wa ngumi nchini Jay Msangi (kushoto) akiwa na bondia Sajjad Mehrabi wa Iran, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa jana kwa ajili ya pambano lake na Francis Cheka, litakalofanyika Jumamosi kwenye ukumbi wa PTA. Kulia ni Rais wa PST Emanuel Mlundwa na promota wa pambano hilo, Mussa Kova.

No comments:

Post a Comment