P-FUNK AUKACHA UBACHELA, UFUNGA NDOA JIJINI ARUSHA
Mtayarishaji wa Muziki ambaye ni mmiliki wa Bongo Records, P-Funk Majani amefunga ndoa na mrembo aitwaye Hidaya. Wawili hao wamefunga pingu za maisha jijini Arusha.
“Finally I made the big move.” Ameandika P-Funk kwenye Instagram na Twitter na kuambatanisha picha akiwa anamvisha pete mkewe.
No comments:
Post a Comment