Pages

Wednesday, April 23, 2014

SEMINA YA SHIRIKA LA RELI TANZANIA, YARUHUSU WAWEKEZAJI WA SEKTA BINAFSI

TRC4_d6954.jpg
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, ambaye alikuwa mgeni rasmi Shaabani Mwinjaka, (mstari wa mbele wa nne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina ya mpango wa kuimarisha usafiri wa reli ya kati jijini Dar es salaam.

TRC_a612e.jpg
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, ambaye alikuwa mgeni rasmi Shaabani Mwinjaka, akiongea na washiriki wa semina ya mpango wa kuimarisha usafiri wa reli ya kati kwa ajili ya kusaidia usafiri kwa wajasiriamali jijini Dar es salaam jana.
TRC3_51db3.jpg
Baadhi ya washiriki wa semina ya mpango wa kuimarisha usafiri wa reli ya kati kwa ajili ya kusaidia usafiri kwa wajasiria mali wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi (hayumo pichani) jijini Dar es salaam jana.

No comments:

Post a Comment