Pages

Friday, April 11, 2014

WAPIMA UZITO KWA MAPAMBANO YA KESHO, JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA

Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika PTA Sabasaba April 12 siku ya Jumamosi
Bondia SukkasemKietyongyuth kutoka Thailand akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam  
 Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba kushoto ni bondia Gavad Zohrehvand wa Iran .

Baadhi ya Waandishi wa habari wakipata taswira mbalimbali za mabondia wakati wa kupima uzito.


                                                  www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment