Pages

Thursday, April 17, 2014

ZOEZI LA SAFISHA JIJI LA MBEYA LASHIKA KASI

Askari wa Jiji wakiwa wanatoa Mawe yote yaliyopo pembezoni mwa barabara eneo la Soweto Jijini Mbeya

Kazi ikiendelea
 Mmoja wa Askari wa Jiji Mwanamke akiwa amebeba jiwe kubwa kwenda kuweka katika gari
 Gari la Jiji likiwa limepaki kwa ajili ya kukusanya mawe hayo
Mmoja wa Askari wa jiji akibonda jiwe kulipunguza ili waweze kubeba na kupakia katika gari.

No comments:

Post a Comment