Ajali mbaya iliyotokea majira ya saa 11 jioani maeneo ya ubungo lango kuu mabasi yatokayo mikoani.
Lori lafeli break na kusababisha uharibifu mkubwa wa magari na watu kuumia vibaya








Ajali imehusishamagari 6 likiwemo UDA. Mpaka muda haijajulikana idadi kamili ya waliopoteza maisha
No comments:
Post a Comment