Pages

Friday, March 21, 2014

RATIBA: MAKUNDI YA ROBO FAINALI YATANGAZWA




Baada ya kuvuka hatua ya 16 bora kumalizika na kushuhudia vigogo 8 kuweza kuingia robo fainali hatimaye makundi yapangwa huko Nyon, Switzerland
na kushuhudia bingwa mtetezi(Bayern Munich) kukipiga na Man U ndani ya Old Traford. Mataji wa ufaransa PSG wataanzia nyumbani kuwakabili Chelsea, Real Madrid kapewa nafasi yakulipa kisasi cha msimu uliopita baada yakukabiliana na Borussia Dortmund na mechi ya mwisho itawakutanisha dugu wa nchi moja Barcelona dhidi ya Atletico Madrid.

                    

Wakati huo huo makundi ya Ueropa league nayo yakatangazwa AZ Alkmaar ataanzia nyumbani kumkabili Benfica, Lyon dhidi ya kibibi kizee cha Torin Juventus, FC Basel dhidi ya Valencia na FC Porto dhidi ya Sevilla
                       BjQDc8cIYAE6c6l The Europa League quarter final draw in full [Picture]

No comments:

Post a Comment