Pages

Wednesday, March 19, 2014

MATOKEO: CHELSEA NA REAL MADRID ZAPIGA WATU HANDICAP NA KUTINGA ROBO FAINALI

Baada ya kutolewa kwa Manchester City na Arsenal katikati ya wiki iliyopita, Chelsea imejikatia tiketi ya kuingia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa kuifunga mabao
2-0 timu hiyo ya Uturuki. Kwa ushindi huo Chelsea imepita kwa jumla ya magoli 3-1 baada ya suluhu ya 1-1 wiki mbili zilizopita nchini Uturuki.
Mabao ya Chelsea yamefungwa Samuel Eto'o dakika ya nne na Gary Cahil dakika ya 43.
Prolific: The goal was the African forward's 30th strike in the Champions League


Cushion: Cahill's strike extended Chelsea's aggregate lead to 3-1 and sent them towards the last eightJumping for joy: Chelsea players celebrate Cahill's goal on the stroke of half-time

Reunited: Drogba hugs Chelsea manager Jose Mourinho before the game

Hero: A banner saluting former striker Drogba on show at Stamford Bridge during the game

Wakati huo huo klabu ya Real Madrid yatinga Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa mabao 3-1 usiku huu Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid ambao unawafanya wasonge mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 9-2 dhidi ya Schalke ya Ujerumani. 
Mabao yaliyoipeleka Madrid Nane Bora ya Ligi ya Mabingwa yamefungwa na Cristiano Ronaldo mawili dakika za 21 na 74 akifikisha mabao 41 msimu huu, na lingine limefungwa na Alvaro Morata dakika ya 75.
Madrid ilishinda 6-1 katika mchezo wa kwanza ugenini, hivyo imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 9-2.

All smiles: World record signing Gareth Bale gives Ronaldo a hug after registering the assist for his goal

No comments:

Post a Comment