Wachezaji wa Azam Fc, ambao ni Mabingwa wapya wa Ligi ya Tanzania Bara wakishangilia baada ya kukabidhiwa Kombe lao la ubingwa na kuweka historia ya kutwaa Ubingwa wa Soka kwa mara ya kwanza tangu walipopanda daraja na kuanza kucheza ligi kuu.
hafla hiyo ya kukabidhiwa kombe ilifanyika kwenye uwanja wa Azam complex Chamazi baada ya mchezo wao na JKT Ruvu ambapo waliibuka na ushindi wa bao 1-0
hafla hiyo ya kukabidhiwa kombe ilifanyika kwenye uwanja wa Azam complex Chamazi baada ya mchezo wao na JKT Ruvu ambapo waliibuka na ushindi wa bao 1-0
No comments:
Post a Comment