Pages

Saturday, April 19, 2014

FRANCIS MIYEYUSHO, MTHAILAND WALIPO PIMA UZITO KUONYESHANA KAZI LEO PTA


Bondia Sukkasem Kietyongyuth, kutoka Thailand (kulia) akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya pambano lao la leo jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam.
Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand (kulia) akitunishiana misuli kwa mkono na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito.
Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand (kulia) wakipeana salamu ya heshima na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito
Bondia Mustafa Dotto (kushoto) akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King class Mawe' baada ya kupima uzito jana, kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba leo.
Bondia Mfaume Hamad (kushoto) akitunishiana misuli na Godfrey Sadiki.

No comments:

Post a Comment