Pages

Monday, April 21, 2014

DAVID MOYES KUTIMULIWA MANCHESTER UNITED


Klabu ya Manchester United imekosa uvumilivu kwa kocha wao David Moyes kwa kile kilichotokana na kutofanya vizuri kwa timu hiyo kwa kuendelea kusuasua na kujikuta wapo nafasi ya saba katika msimamo wa ligi kuu ya nchini Uingereza

Taarifa za hivi punde toka kwenye bodi ya klabu hiyo zinasema kuwa, huenda David Moyes akafungashwa vilago vyake na kuiacha timu hiyo ndani ya wiki mbili zijazo kabla hata ya kumalizika kwa ligi kuu nchini humo

                                                    

Kocha wa Manchester United
, David Moyes

No comments:

Post a Comment