Klabu ya Manchester United imekosa uvumilivu kwa kocha wao David
Moyes kwa kile kilichotokana na kutofanya vizuri kwa timu hiyo kwa
kuendelea kusuasua na kujikuta wapo nafasi ya saba katika msimamo wa ligi kuu ya
nchini Uingereza
Taarifa za hivi punde toka kwenye bodi ya klabu hiyo zinasema kuwa, huenda David Moyes akafungashwa vilago vyake na kuiacha timu hiyo ndani ya wiki mbili zijazo kabla hata ya kumalizika kwa ligi kuu nchini humo

Kocha wa Manchester United, David Moyes
No comments: