FAIDA NANE ZA VITUNGUU MAJI

Usijali machozi yanayoletwa na vitunguu, vitunguu ni kama karata dume katika kupigana na magonjwa. Ni mmea mahiri katika familia ya lily, vinakupa faida nyingi kiafya pia yaongeza ladha nzuri katika chakula chako.
Posted by: Unknown Posted date: 12:12 PM / comment : 0 Darasani