ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

      MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 100)
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
MAJUKUMU YA KAZI
         Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi
         Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi
         Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha
         Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori
         Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali
         Kufanya usafi naulinzi wa kambi
         Kusimamia uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye hifadhi
         Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani
         Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao

         Kusimamia taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya Nchi
         Kudhibiti wanyamapori waharibifu

         Kudhibiti moto kwenye hifadhi
         Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake
  SIFA ZA MWOMBAJI

         Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI wenye Astashahada ya Uhifadhi Wanyamapori (Technician Certificate in Wildlife Management) kutoka Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
  MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B2 kwa mwezi.
     MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III – (NAFASI 327)
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii.
  MAJUKUMU YA KAZI

         Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi

         Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi

         Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa picha

         Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori

        Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali

         Kufanya usafi na ulinzi wa kambi

         Kusimamia uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye hifadhi

         Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa ushahidi Mahakamani

         Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya wanyamapori na kukusanya takwimu zao

         Kusimamia taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na nyara nje na ndani ya Nchi
         Kudhibiti wanyamapori waharibifu
         Kudhibiti moto kwenye hifadhi
         Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na taaluma yake
  SIFA ZA MWOMBAJI

         Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI wenye Astashahada ya Awali ya Uhifadhi wa Wanyamapori (Basic Technician Certificate in Wildlife Management) kutoka Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
  MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B1 kwa mwezi.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

Top