ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5



Ilipoishia Johnson alipanga kumpa Maria penzi zito ile siku sababu alimfurahisha sana
Endelea Johnson na Maria walichukua bajaji safari ya kwenda nyumbani kwa Johnson ikaanza. Johnson:  "mpenzi asante sana kwa zawadi zako nimezipenda sana yani hapa nilipo nina furaha sana" Maria:  "usijali mpenzi kawaida tu nitazidi kukufurahisha mpenzi nitakununulia zawadi kubwa zaidi ya hizo nilizokununulia leo"
Johnson alifurahi sana kusikia vile lakini akakumbuka mzee Joseph alisema na yeye anataka zawadi akaogopa kumuambia Maria kile kitu akapanga atachagua zawadi yoyote nzuri kati ya zile alizonunuliwa na Maria atampelekea mzee Joseph. Johnson:  "mpenzi leo kwenu umeaga unaenda wapi?
Maria:  "nyumbani wanajua nipo chuo mpenzi wala usiwe na wasiwasi"
Johnson:  "sawa mpenzi wangu nilijua hujaaga si unajua jinsi wazazi wako walivyo watata nikaogopa tusije tukaenda nyumbani kwangu tukajiachia wakaja kukutafuta watufume" Maria akacheka akamuambia "Jamani Johnson wewe muoga mimi siwezi kuondoka nyumbani bila kuaga nimeondoka asubuhi wanajua nipo chuo usiogope mpenzi wangu" Walipiga stori zao ndani ya bajaji hadi wakafika nyumbani kwa Johnson wakamlipa dereva pesa yake wakashusha mizigo yao ile bajaji ikaondoka wao wakaanza kuingiza mizigo yao ndani. Walivyomaliza kuingiza mizigo Maria akamuuliza Johnson "vipi mpenzi nikusaidie kupanga vitu au utapanga kesho? Johnson:  "acha tu mpenzi nitavipanga mwenyewe kesho njoo tupumzike si unajua tumezunguka sana leo au wewe hujachoka" Maria:  "nimechoka mpenzi wangu basi twende kwanza tukaoge ndio tuje tupumzike" Lengo kubwa la Johnson lilikuwa ni kumpa maraha Maria kama alivyopanga sababu alikuwa kashaanza kuyaona matunda yake. Maria alipeleka maji bafuni akamshtua Johnson wakaenda kuoga pamoja kule kule bafuni. Johnson akaanza kumchokoza Maria kwa vimichezo michezo vya mapenzi ambavyo vilimfanya Maria acheke na kufurahi sana. Walitoka bafuni wakarudi ndani Johnson alimbeba Maria hadi kitandani huku wote wawili wakiwa wamevaa mataulo tu akaanza kumchezea chezea Maria pale wote wawili walikuwa na hamu ya kufanya Mapenzi sababu walikuwa wana wiki tatu hawajakutana kimwili, Johnson alianza  kumchezea Maria. Mtoto wa watu akaanza kujinyonganyonga pale kitandani huku anatoa miguno ya maraha na yeye Johnson ndio akawa anazidisha mautundu, Maria azidi kupiga kelele na kumkumbatia Johnson kwa nguvu. Johnson alivyoona mpenzi wake Maria yuko hoi akaanza kumpa mambo mazito ilikuwa balaa pale kitandani Johnson na Maria walipeana mambo mazito sababu kila mmoja alizimisi raha za mwenzake. Walimaliza mchezo na kupelekea wawe hoi sababu hawakuzoeshana kufanya naye mapenzi mara kwa mara. Maria alijilaza kwenye kifua cha Johnson akamuambia "yani dear leo umenipa raha za ajabu sana umenipa mambo matamu sana ahsante sana mpenzi wangu" Johnson: "nipo kwa ajili yako mpenzi wangu nipo kwa ajili ya kukupa raha hata wewe pia umeniridhisha mpenzi nilikuwa nna hamu sana na wewe Maria" Maria:  "sasa kwa haya mambo unayonipa unadhani nitakubali kwenda kusoma Uganda Baba na Mama wasahau hicho kitu" Johnson:  "huwezi kubishana na wazazi wako wakiamua uksome Uganda utaenda tu" Wakati Johnson na Maria wanapiga story pale kitandani simu ya Maria ikawa inaita kucheki alikua ni Mama yake anapiga Maria akapokea wakasalimiana mama yake akamuuliza "Maria mwanangu uko wapi?
Itaendelea…………………

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top