Pages

Thursday, April 17, 2014

MATOKEO: REAL MADRID YATWAA COPA DEL REY, ANCELOTTI KATIKA HISTORIA NYINGINE


Real Madrid ndiyo mabingwa wa Kombe la Mfalme wa Hispania maarufu kama Copa Del Rey. Real walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 11, mfungaji di Maria akimalizia pasi ya Benzema, lakini Bartra akaisawazishia Barca dakika ya 68 kwa pasi ya Xavi.
Shujaa wa Real alikuwa Bale aliyefunga bao la ushindi dakika ya 85 baada ya kukimbia mita 40 kwa pasi ya Fabio Coentrao. Kwa ushindi huo, Real Madrid imeshinda kombe lake la 20 la Copa del Rey wakati Barcelona inaendelea kuongoza kwa kushinda mara 26 ikifuatiwa na Atletico Bilbao iliyolibeba mara 23.

Campeones: Real Madrid supporters celebrate as their team wins the Copa del Rey at the Mestalla stadium

Get in: Bartra celebrates after pulling Barcelona level with Real Madrid in the 68th minute

Thumb on: Real Madrid's Argentinian midfielder Angel di Maria celebrates after scoring the opening goal

No comments:

Post a Comment