Pages

Wednesday, April 9, 2014

MSONGAMANO WA MAGARI WAPUNGUA BANDARINI

 Katika pitapita yake Kamera ya Sufianimafoto, ilinasa Taswira hii ya Bandari ya Dar es Salaam, ikiwa na magari machache ikilinganishwa na siku za nyuma ambapo magari yalikuwa yakizidi kuwa mengi na kufikia mengine kupigwa mnada baada ya wahusika kushindwa kuyatoa bandarini hapo kutokana na gharama kuwa kubwa, lakini ni tofauti na sasa na huenda ni kutokana na kuongezeka kwa Bandari Kavu ya Shaurimoyo ama la. 
Taswira
                                                                Taswira ya upande wa pili

No comments:

Post a Comment