Pages

Friday, April 11, 2014

WAWILI WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI LA SMART ILIYOTOKEA LEO ENEO LA LUGOBA



Basi la smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba
Watu wawili Wamefariki Dunia Kutokana na Ajali ya Basi la Smart Asubuhi Ya leo. 

Basi Hilo Lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam Kuelekea Mombasa Nchini
Kenya Limeacha Njia Na Kupinduka na Kusababisha Vifo vya watu Wawili
pamoja na Kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20 .Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba Barabara Kuu ya Chalinze Segera.

No comments:

Post a Comment