ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

 
Kundi la muziki kutoka mjini Morogoro Team Recers ambalo linaundwa na wakali kama Rota, Kacci, Raid, Concious, Big Poppa na producer wao wa audio na video GQ
Team Recers walisema ”Ebwana tumepata dili safi yani naweza kusema hii ni moja kati ya hatua kubwa tuliyopiga na hii yote ni kwaajili ya kazi nzuri pamoja na nidhamu tulionayo. Team Racers imesaini mkataba na kampuni ya maziwa inayoitwa LEWIS MTINDI BORA ya mjini Morogoro.
Katika mazungumzo baina ya msemaji mkuu wa Team Racers na Mkurugenzi wa kampuni hiyo Mr Urio makubaliano ambayo yamewekwa ni kuwa members wa Team Racers wanakuwa mabalozi wa product hiyo ikiwa ni kufanya matangazo pamoja na kupromote product hiyo ya maziwa. Kiukweli imetuzidishia juhudi ya kuendelea kufanya kazi vizuri zaidi.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top