Hali ilikuwa si shwari mjini Morogoro asubuhi ya leo hii ambapo madereva daladala wamegoma
kutoa huduma kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kupinga faini kubwa wanazotozwa na mamlaka za usalama barabarani mkoani humo.
Wanasema kufa kufaana ni bodaboda na toyo ndio ulikuwa usafiri mkubwa
Pichani ni baadhi ya wakazi wa Morogoro ambao leo asubuhi walilazimika kutumia usafiri wa vyombo visivyo rasmi kusafirisha abiria, ili kuwahi makazini
MGOMO WA MABASI YA ABIRIA DALADALA MKOANI MOROGORO

No comments: