ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akimkabidhi laptop Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu
 wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akitoa maelezo mafupi juu ya Mpango wa Kuboresha na Kuimarisha Takwimu nchini wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.
 Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum akihutubia wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.
 Mwakilishi wa Wadau wa Maendeleo nchini Bw. Richard Martin akitoa maelezo mafupi kwa Wageni waalikwa (hawapo pichani)wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya Teknolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa baadhi ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) akikata utepe kuonesha baadhi ya vifaa vya TEHAMA vilivyokabidhiwa kwa baadhi Wizara, Idara na Taasisi za Serikali leo katika Ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Fedha. PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top