ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

 


Akiwa kaambatana na viongozi  wenzake  wa tume Mh Warioba alitumia zaidi ya saa nne kulihutumbia bunge hilo ambapo amesema  kutokana  maoni waliyokusanya kutoka kwa wananchi wanaapendekeza kuwepo na serikali tatu.
Hotuba hiyo ambayo mara kwa mara ilikuwa ikikatishwa kwa shangwe makofi ya hapa na pale pia  iligusia changamoto kadhaa zilizopo katika muungano.
Wakati wa uwasilishwaji wa rasimu hiyo mwenyekiti  huyo ambaye amewahi  kuwa waziri mkuu wa  jamhuri ya muungaano wa Tanzania katika hotuba yake kwa nyakati tofauti tofauti mwenyekiti  wa bunge maalum la katiba na makamu wake walikuwa wanalazimika kuwatuliza wajumbe ili kuleta usikivu.
Awali itakumbukwa kuwa rasimu hiyo ilipaswa kuwasilishwa bungeni mapema jumatatu lakini zoezi hilo  lilikwama kwa kile kilichoelezwa kuwa kanuni zili kiukwa na hapa Mh Sitta anatoa ufafanuzi ya  makubaliano yaliyofikiwa.
Katika hatua nyingine bunge lililazimika kupumzika kwa muda baada ya Mh Warioba kukiomba kiti  apewe muda kidogo wa kupumzika baada ya kusimama kwa takribani saa moja.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top