Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Robin van Persie ameripotiwa kwamba amepata majeruhi ya goti baada ya kuumia
katika mchezo wa raundi ya pili wa hatua ya 16 ya ligi ya mabingwa wa
ulaya dhidi ya Olympiakos uliopigwa katika dimba la Old Trafford,
jumatano wiki hii. Van Persie ambaye alifunga hat trick iliyoipeleka Man
United hatua ya robo fainali alitolewa nje na machela katika mchezo huo
katika dakika za mwisho za huo, na leo hii baada ya kufanyiwa vipimo
kiundani imegundulika amepata majeruhi yatakayomuweka nje kwa muda wa
wiki 4 hadi 6.
Mechi Atakazokosa
Mar 23: West Ham (A)
Mar 25: Man City (H)
Mar 29: Aston Villa (H)
Apr 1: Bayern Munich (H)
Apr 5: Newcastle (A)
Apr 9: Bayern Munich (A)
Apr 20: Everton (A)
Apr 26: Norwich (H)
VAN PERSIE NJE WIKI 4 HADI 6

No comments: