Ni dhahiri wamelipa kisasi cha mzunguko wa kwanza baada leo kufanikiwa kuwalaza timu iliyokwisha tetea ubingwa wake. Borussia Dortmund walianza kwa kasi na kujiamini dhidi ya mpinzani wake Bayern Munich, Mkhitaryan aliandika bao la kwa dakika ya 20 kabla ya Reus kufunga la pili dakika ya 49 kipindi cha pili na la tatu kukwamishwa na Hofmann.
MATOKEO MENGINE
- FSV Mainz 05 3 - 0 SV Werder Bremen
- Borussia Mönchengladbach 1 - 1 VfB Stuttgart
- Hannover 96 2 - 1 Hamburger SV
- Sport-Club Freiburg 2 - 0 Eintracht Braunschweig
- VfL Wolfsburg 4 - 1 1. FC Nürnberg
No comments: