Ule Mtanange uliokuwa unasubiliwa kwa hamu na kwa kipindi kirefu na Watanzania, Mchezo huo ambao utatoa taswira ya bingwa nchini Tanzania unatarajiwa kucheza leo uwanja wa Taifa
.
Wakati huo huo Ligi Ya Mabingwa Ulaya itaendele leo kwa michezo miwili, Man U ikiwa na kumbukumbu yakupoteza mchezo wa awali goli 2-0 dhidi ya Wagiriki ushindi wa magoli 3-0 bila ndio itakuwa pona ya Waingereza hao. Nchini Ujerumani Borussia Dortmund kama yampiga kikumbu mlevi baada mechi ya awali kushinda magoli 4-2 nchini Urusi. Ni ushindi wa magoli 3-0 ndio utaweza kuwavusha Warusi hao kwa hatua inayofuata
17:00 Azam vs Yanga
22:45 Man U vs Olypiakos
22:45 Borussia Dortmund vs Zenit Petersburg
RATIBA: TAIFA HAPATATOSHA, MAN U KUTUPA KARATA YAO MBELE YA WAGIRIKI, BORUSSIA KAMA INAMSUKUMA MLEVI

No comments: