.jpg)

Moto huo ukiendelea kuwaka
Mpaka dakika hii timu ya Feel At Homee inaingia mitamboni bado moto huo mkubwa unaendelea kuwaka na hakuna chombo chochote cha zimamoto kilichofika eneo hilo.
Mpaka hivi sasa bado chanzo cha moto huo hakijajulikana na pia bado hakuna taarifa zozote za madhala yaliyosababishwa na moto huo huku jengo hilo likizidi kuteketea
Endelea kuwepo karibu na ukurasa huu kwa taarifa zaidi >>>
.jpg)
Kama unavyoweza kuona pichani moto huo ukiwa umeshika kasi
No comments: