Real Madrid imefuzu kwenye tundu la sindano kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Borrusia Dortmund usiku huu Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund.
Mabao ya Marco Reus dakika ya 24 na 37 yaliwafanya wenyeji waende kupumzika wanaongoza kwa 2-0 na kufanya matokeo ya jumla yawe 3-2 baada ya kufungwa 3-0 katika mchezo wa kwanza.
Ronaldo alikuwa benchi leo kwa sababu ya maumivu








No comments: