ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Wachezaji wa Timu ya Mbeya City FC wakiwa wanaingia ukumbini
Meza Kuu wakipiga makofi wakati wakiipokea Timu ya Mbeya City FC
 Timu nzima ya Mbeya City Fc wakiwa wameketi pamoja na kocha Mkuu na Mganga wa timu hiyo
 Meza Kuu
 Kocha Msaidizi Maka Mwalwisi kushoto akiwa na Kocha Mkuu Mwambusi
 Baadhi ya waheshimiwa Madiwani pamoja na wadau wa Mbeya city Fc wakiwa wanafuatilia Sherehe
Afisa Habari wa Mbeya City FC Fredy Jackson akiendelea Kusherehesha
 Mwenyekiti wa Bodi ya Michezo Mbeya City FC Mussa Mapunda akielezea Historia Fupi ya Mbeya City Fc ilipotokea
 Kocha Mkuu wa Mbeya City FC Mussa Mwambusi akiwashukuru wadau kwa kuwatia Moyo mpaka hapa walipofika kuchukua ushindi wa nafasi ya Tatu katika Ligi kuu Tanzania Bara
 Mchezaji wa Mbeya City FC John Kabanda akipokea zawadi yake
  `
Golikipa namba moja wa Mbeya City FC David Buruani akichukua zawadi yake
Mchezaji wa Mbeya City Fc Yussuph Abdalah akipokea zawadi yake
 Meya wa Jiji la Mbeya Mh. Athanas Kapunga akizungumza jambo wakati wa Sherehe za Kuwapongeza Mbeya City FC
 Katibu Tawala wa Mkoa (RASS) Mh. Mariam Mtunguja akitoa Hotuba yake wakati wa sherehe ya Kuipongeza timu ya Mbeya City FC
 Wadau wa Mbeya City FC
Aliyesimama mbele kulia ni mmoja ya wadau wakubwa wa Mbeya City Fc Bw. Balosi Bayona
Katibu wa Timu ya Mbeya City FC Emanuel Kimbe akizungumza Jambo
 Waandishi wa Habari wakiwa kazini
 Baadhi ya Wadau wa Mbeya City FC pamoja na waandishi wa Habari

 
Picha na Mbeya Yetu

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top