Valencia wakiwa katika furaha ya ushindi baada yakushinda magoli 5-0 dhidi ya FC Basel ambao wiki iliyopita waliibuka na ushindi wa mabao 3-0 kwa maana hiyo Basel kaaga mashindano rasmi. 5-3
Matokeo yalikuwa 2-1 ukijumlisha na goli moja Juve walililopata wiki iliyopita jumla 3-1
AZ Alkmar kaaga baada yakufungwa goli 2-0 na matokeo ya awali jumla 3-0
Porto kafungwa 4-1 na kuaga rasmi mashindano baada goli lake moja la awali kutomsaidia 4-2
MATOKEO: EUROPA VALENCIA, SEVILLA ZAANGUSHA DOZI NZITO WAUNGANA NA JUVENTUS NA BENFICA NUSU FAINALI

No comments: