ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Beki  na nahodha wa Manchester United, Nemanja Vidic ameagwa rasmi leo Old Trafford baada ya kuitumikia klabu hiyo katika mchezo wa mwisho wa nyumbani msimu huu na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Hull City.
Vidic amepewa zawadi ya shukurani kwa utumishi wake wa miaka nane katika klabu hiyo, huku akiwa tayari alishaaga.
Beki huyo alipewa zawadi hiyo na Sir Bobby Charlton kabla ya vijana wa Ryan Giggs hawajaanza mechi.
Hata kama beki huyo mwenye miaka 32 alianzia benchi katika mechi ya leo, lakini alipata nafasi ya kucheza kwa mara ya mwisho Old Trafford.
All smiles: Nemanja Vidic was given a present by Sir Bobby Charlton at Old Trafford on Tuesday night

Saying goodbye: The central defender is leaving at the end of the season for pastures new at Inter Milan

Surprise: Vidic started on the bench against Hull City but came on after an injury to Phil Jones
The final walk: Vidic began on the bench at Old Trafford during his last home game for the club

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top