Akiongea na Waandishi wa habari Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey
Mngereza wameamua kuziondoa nyimbo hizo kwa madai zinakiuka maadili ya
Kitanzania. Nyimbo hizo ni Tema Mate wa Madee, Nimevurugwa wa Snura na Uzuri Wako wa Jux.
BASATA WAONDOA NYIMBO YA MADEE, SNURA NA JUX SHINDANO LA KTMA

No comments: