ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Meneja wa benki ya NIC Mbuche Mgawa wa nne kulia akipokea maelezo kutoka kwa bibi Mary Robert Kaswende meneja wa kituo cha Dymphna Special school iliyopo sakina kwa idd mara baaada ya kuwasili shuleni hapo.
 Watoto wa shule maalum ya Dymphna wakiwasikiliza wageni ambao ni wafanyakazi wa benki ya NIC
 Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC
Watoto wa shule hiyo wakiwa wamebeba bango la kutoa shukrani kwa benki ya NIC,  wakiwa pamoja na misaada waliyobeba na watoto wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ziara ya kuwatembelea kituo hicho ambacho ni maaalum kwa ajili ya kutoa elimu kwa watoto wenye matatizo ya mtindio wa ubongo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top