Katibu Wa Chama Cha Marubani, Bw Khalil Iqbal akielezea matatizo
wanayokumbana nayo katika mazingira ya kazi wakati wa kikao na waziri wa
Uchukuzi, Dk Harriosn Mwakyembe.
Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe akitoa majibu kutoka kwa marubani ambao walikua na kikao leo na waziri wa uchukuzi
Captain Aziz Abdallah, Rubani Mkuu wa Coastal Aviation akitoa maelezo kwa waziri wa Uchukuzi wakati wa kikao na marubani uliofanyika leo katika ukumbi wa Transit Lounge uliopo terminal one
Akisisitiza Jambo
Baadhi ya marubani na waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo leo
No comments: