ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5


 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Shirika la Taifa la Bima (NIC) Uganda wakati wa fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki kwa mchezo wa Netiboli, ambayo walicheza na JKT – Mbweni ya ya Tanzania
 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo akimkabidhi Kombe la mshindi wa kwanza wa mashindano ya netiboli Klabu Bingwa Afrika Mashariki nahodha wa Timu ya NIC Uganda ,Obua Desire, baada ya kuifunga timu ya JKT Mbweni ya Tanzania magoli 47 – 30.
Wachezaji wa timu ya NIC Uganda wakifurahia ushindi uliopelekea kutetea ubingwa wao jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha mpira wa Netiboli Tanzania (Chaneta) Bi. Anna Kibira 9kusoto) akikabidhiwa majukumu ya Shirikisho la vyama vya mpira wa netiboli Afrika Mashariki (EANA) na Rais wa Shirikisho hilo Bi.Mildred Ajiemba Wanyama juzi jijini Dar es Salaam. Tanzania imekabidhiwa kuongoza sekretariati ya shirikisho hilo kutoka nchi ya Kenya. 
 
Picha na Frank Shija, Afisa Mawasiliano Serikalini.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top