ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Godlove Nnko akiwakilisha mada yake wakati wa kikao cha kamati Elimu Afya na Maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Gairo, lengo la kikao hicho ni kujadili rasimu ya sheria ndogo na hati rasmi ya uanzishwaji wa mfuko001
wa afya ya jamii(CHF) katika Halmashauri ya Wilaya Gairo ( kushoto), Diwani kata ya Chanjale pia Mwenyekiti wa Elimu ya Afya ya Jamii Marima Maiko, kikao hicho kimefanyika Machi 26, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo.
002
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Gabriel Gregory akichangia mada katika kikao hicho.
 003
Wajumbe wa kamati ya Elimu Afya na Maji wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao cha kujadili rasimu ya sheria ndogo na hati rasmi ya uanzishwaji wa mfuko wa afya ya jamii (CHF)katika Halmashauri ya Wilaya Gairo.
004
                            Mjumbe akinyosha kidole kuomba kuchangia mada.
005
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma za Sheria Tamisemi,Triphonia Kisiga (katikati), Mwanasheria Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Bw.Tumsime Kiliba (kushoto), na Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya Bw.Metta Nahonyo. wakijadiliana jambo wakati wa kikao hicho.
 006
Wajumbe wa kamati ya Elimu Afya na Maji wakifuatilia ratiba katika ubao wa matangazo nje ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo kabla ya kuanza kwa kikao hicho.
007
Mwanasheria Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Bw.Tumsime Kiliba (kushoto), Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Gabriel Gregory (katikati), wakijadiliana jambo nje ya ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo baada ya mapumziko (watatu), Mwanasheria kutoka Wizara ya Afya Bw.Metta Nahonyo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top