Mwenyekiti
wa muda wa kamati No. 10 ya Bunge Maalum akitoa maelekezo ya namna ya
kufanya uchaguzi wa mwenyekiti wakati kamati hiyo ilipokutana katika
ukumbi wa St. Gasper kuchagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa kamati
hiyo.
Mjumbe
wa Bunge Maalum Prof. Makame Mbarawa akiomba kura kwa wajumbe wa kamati
No. 1 ya Bunge Maalum kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo.
Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Muda Mhe. Ally Keissy Mohamed na Katibu
wa Kamati hiyo James Warbag wakimsikiliza kwa makini.
Wajumbe wa Kamati wakipiga kura.
Wajumbe wa Kamati wakipiga kura.
Maafisa
wa Sekretariat ya Kamati No. 11 wakihesabu kura mara baada ya kufanya
uchaguzi wa Mwenyekiti hiyo huku Mgombea mmojawapo Mhe. Anne Kilango
Malecela akijisimamia mwenyewe kuhesabu kura mbele ya Mwenyekiti wa Muda
Mhe. Adamu Malima.
Wajumbe wakisikiliza matokea ya uchaguzi.
Wajumbe wakisikiliza matokea ya uchaguzi.
Mgombea
wa nafasi ya Mwenyekiti katika kamati No. 10 ya Bunge Maalum la Katiba
Prof. Ibrahim Lipumba akimpongeza Mhe. Anna Abdalah baada ya kuchaguliwa
kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Picha na Owen Mwandumbya - Sekretariat
ya Bunge Maalum
No comments: