ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (katikati) akiwasili kituo cha kufua umeme kwa kutumia gesi asilia kinachojengwa Kinyerezi wakati akihitimisha ziara yake ya siku mbili ya kukagua mradi wa ujenzi
 wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi jijini Dar es salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa Mradi huo kutoka kampuni ya Jacobsen Elektro Shaun Moore na wa kwanza ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi.
 Mkurugenzi Mkazi wa Mradi huo kutoka kampuni ya Jacobsen Elektro Shaun Moore (wa kwanza kushoto) alimweleza Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na msafara wa Makatibu Wakuu wa Wizara zilizo katika mpango BRN maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Kinyerezi.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (katikati) akiteta jambo na Mkurugenzi Mkazi wa Mradi huo kutoka kampuni ya Jacobsen Elektro Shaun Moore (wa kwanza kushoto) na kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment


Top