MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA AKISOMA HOTUBA YAKE KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KILICHOFANYIKA KWENYE ENEO LA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAZINGIRA JIJINI TANGA. |
PRA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MWANAUWANI BAWAZIRI WA KWANZA KUSHOTO AKIWA NA WAFANYAKAZI WENZAKE WAKIFUATILIA KWA UMAKINI HOTUBA YA MGENI RASMI. |
KATIKATI NI MKUU WA MKOA WA TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA AKIWA AMEBEBA GITAA KABLA YA KUWAKABIDHI KIKUNDI CHA WAIMBAJI KINACHOISHI PEMBEZONI MWA ENEO LA CHANZO CHA MAJI KULIA |
KULIA NI MKUU WA MKOA WA TANGA,LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA AKIMKABIDHI GITAA HILO MMMOJA KATI YA WASANII WANAOUNDA KUNDI HILO. ANAYESHUHUDIA NI MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA TANGA,OMARI GULEDI |
No comments: