Sunday, June 29, 2025

ads

Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Style5



 
Hili ndilo jiwe alilopigwa nalo mfanyabiashara wa vipuri vya pikipiki mjini Tabora marehemu Michael Samson
 na kupasua eneo kubwa la sehemu ya kichwa na kufariki papo hapo katika Bar ya Uhuru iliyopo mtaa wa Madrasat Kata ya Kanyenye manispaa ya Tabora.


  
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP SUZAN KAGANDA akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu mauaji ya mtu mmoja ambaye alikuwa ni mfanyabiashara wa vipuri vya pikipiki mjini Tabora marehemu Michael Samson ambaye aliuawa usiku baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana ambapo walimpiga kwa jiwe kichwani lililosababisha kifo chake papo hapo.

Kwa mujibu wa mashuhuda mmoja kati ya wauaji mara baada ya kuwaamuru walale chini wateja watano waliokutwa kwenye Bar hiyo alichukua jiwe lililokuwa umbali wa hatua kumi na kuja kumpiga nalo mara mbili kichwani kwa nguvu marehemu Michael hali iliyosababisha kupasuka vibaya kichwa. Hata hivyo Polisi hadi sasa wanawashikilia watu wawili kuhusiana na tukio hilo la kinyama

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
MICHEZO: KIKOSI KAZI KUSHUGHULIKIA TIKETI ZA ELEKTRONIKI
»
Previous
RATIBA: MAKUNDI YA ROBO FAINALI YATANGAZWA

No comments:

Post a Comment


Top