Magari yakipita kwa tabu katika barabara ya Sinza Makaburini, kutokana na mti mkubwa ulioangushwa na upepo mkali uliotokana na mvua kubwa iliyonyesha jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia jana na leo.

Kutokana na mti huo kuziba barabara hata wapita kwa miguu wanapata tabu kupita eneo hilo.
No comments: