Klabu ya Ndanda FC kutoka Mkoani Mtwara leo hii itamenyanaa na Polisi
Dar Es Salaam katika ligi daraja la Kwanza. Ikiwa imejikusanyia pointi
25 huku vinara African Lyon pointi 26, inatakiwa kushinda na kuiombea
mabaya Lyon hili ifungwe au itoe sare na wao wapate kuonja utamu wa ligi
Kuu Tanzania Bara Msimu ujao. Mechi itachezwa majira ya saa 10 jioni
katika Kiwanja cha Karume.
NDANDA FC USO KWA USO NA POLISI DAR ES SALAAM KATIKA LIGI DARAJA LA KWANZA

No comments: