Ndanda FC ya mkoa mtwara imeibuka na ushindi wa magoli
Majukwaa yalihamia Machinga Complex
Anakwambia mabomu tumezoea lakini ushindi lazima uende Mtwara
Ilikuwa dakika ya 80 lakini anasema hatuoni Muamuzi maliza mpira hapo matokeo 2-1
Tunakuja kuwakamata
Shabiki Damu: Siuzi tena mitumba narudi nyumbani kushabikia timu yangu
No comments: